Unaweza kufadhili ama kuongeza fedha katika akaunti yako ya kibinafsi kwa njia nyingi. Wachezaji wanazo chaguzi nyingi za mifumo ya malipo ambazo wanaweza kuzitumia kupata/kulipwa pesa. Orodha hiyo inajumuisha pochi za mtandaoni kama vile Skrill na Neteller. Kwa kuongeza, unaweza kuongeza salio katika akaunti yako ya Mostbet kwa kutumia kadi za Visa au MasterCard, na vile vile moja kwa moja kutoka kwa simu yako.

Utoaji wa fedha kutoka katika akaunti ya mostbet hufanyika kwenye huduma kama hizo za kulipia zilizokwisha tajwa. Ikumbukwe kwamba utoaji wa fedha unaweza kufanywa tu kwenye mfumo ambapo amana ilifanywa (mfumo uliotumia kuongeza fedha katika akaunti yako ya mostbet.).

Amana (Fedha Unazoweka) Mostbet

Vipengele vya Kuzingatia ili Kutoa Fedha

Kwa mujibu wa sheria za kampuni za kubetisha, kabla ya kutoa fedha mchezaji analazimika kuweka dau lisilo chini ya kiwango alichotengeneza au alichoweka kwenye akaunti yake ya kibinafsi. Kwa hivyo, ikiwa umeongeza $20 katika akaunti yako, basi utalazimika kubeti kwa kuweka dau lenye/zenye thamani zaidi ya dola ishirini ili kuweza kutoa pesa. Utaratibu huu utaambatana na kila amana, kwa hivyo taarifa hii inakupasa kuizingatia akilini.

Baada ya kufanya ombi la kutoa fedha, litashughulikiwa, baada ya hapo fedha huendaa kwenye wallet ya mtandaoni au mfumo mwinginge uliouchagua kupokea malipo. Makubaliano ya watumiaji wa mostbet yanameeleza kwamba mchakato wa kushughulikia utoaji wa fedha hautochukua zaidi ya masaa 48. Kiuhalisia, pesa huhamishiwa kwenye akaunti ya kibinafsi ya mteja mara moja.